Leviticus 26:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi nami nitapingana nanyi kwa hasira kali, na kuwaadhibu mimi mwenyewe mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndipo katika hasira yangu nitaweka uadui nanyi, nami mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo nami nitakwenda kwa kuwashikia ninyi kinyume katika ghadhabu yangu; nami nitawaadhibu mara saba kwa dhambi zenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi nami nitapingana nanyi kwa hasira kali, na kuwaadhibu mimi mwenyewe mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndipo katika hasira yangu nitaweka uadui nanyi, nami mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndipo katika hasira yangu nitaweka uadui nanyi, nami mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo nami nitawaendea kinyume katika ghadhabu yangu; nami nitawaadhibu mara saba kwa dhambi zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi nami nitapingana nanyi kwa hasira kali, na kuwaadhibu mimi mwenyewe mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nami nitaendelea kupingana nanyi kwa ukali nikiwachapua machapuo yaliyo makali zaidi mara saba kwa ajili ya ukosaji wenu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo nami nitakwenda kwa kuwashikia ninyi kinyume katika ghadhabu yangu; nami nitawaadhibu mara saba kwa dhambi zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi nami nitapingana nanyi kwa hasira kali, na kuwaazibu mimi mwenyewe mara saba zaidi kwa ajili ya zambi zenu.