Leviticus 26:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitaiteketeza nchi yenu hivyo kwamba hata adui wanaohamia humo watashangaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaiharibu nchi, ili adui zenu watakaoishi humo washangae.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaitia hiyo nchi ukiwa; na adui zenu watakaokaa huko wataistaajabia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitaiteketeza nchi yenu hivyo kwamba hata adui wanaohamia humo watashangaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaiharibu nchi, ili kwamba adui zenu watakaokuja kuishi humo washangae.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaiharibu nchi, ili adui zenu watakaokuja kuishi humo washangae.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaitia hiyo nchi ukiwa; na adui zenu watakaokaa huko wataistaajabia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitaiteketeza nchi yenu hivyo kwamba hata adui wanaohamia humo watashangaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata nchi yenu nitaiacha, iwe peke yake tu, adui zenu wapate kuistukia watakapokaa huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaitia hiyo nchi ukiwa; na adui zenu watakaokaa huko wataistaajabia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitateketeza inchi yenu hivyo kwamba hata waadui wanaohamia mule watashangaa.