Leviticus 26:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nyinyi mtakapokuwa mikononi mwa adui zenu, hapo ndipo nchi itakapozifurahia sabato zake wakati itakapokuwa hali ya ukiwa. Nchi itapumzika na kufurahia sabato zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nchi itafurahia sabato zake muda wote ule itakapokuwa ukiwa, nanyi mkiwa katika nchi ya adui zenu. Ndipo nchi itapumzika na kufurahia sabato zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo ndipo nchi itakapozifurahia Sabato zake, wakati itakapokuwa hali ya ukiwa, nanyi mtakapokuwa katika nchi ya adui zenu; ndipo nchi itakapopumzika, na kuzifurahia Sabato zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nyinyi mtakapokuwa mikononi mwa adui zenu, hapo ndipo nchi itakapozifurahia sabato zake wakati itakapokuwa hali ya ukiwa. Nchi itapumzika na kufurahia sabato zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nchi itafurahia Sabato zake muda wote ule itakapokuwa ukiwa, nanyi mkiwa katika nchi ya adui zenu, ndipo nchi itapumzika na kufurahia Sabato zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nchi itafurahia Sabato zake muda wote ule itakapokuwa ukiwa, nanyi mkiwa katika nchi ya adui zenu. Ndipo nchi itapumzika na kufurahia Sabato zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo ndipo nchi itakapozifurahia Sabato zake, wakati itakapokuwa hali ya ukiwa, nanyi mtakapokuwa katika nchi ya adui zenu; ndipo nchi itakapopumzika, na kuzifurahia Sabato zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nyinyi mtakapokuwa mikononi mwa adui zenu, hapo ndipo nchi itakapozifurahia sabato zake wakati itakapokuwa hali ya ukiwa. Nchi itapumzika na kufurahia sabato zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nchi yenu itakapopendezwa na kuipata miaka yake ya mapumziko siku zile zote, itakapokuwa pori tupu, ninyi mkikaa katika nchi ya adui zenu. Hapo ndipo, hiyo nchi itakapopumzika kweli na kuilipa miaka yake ya mapumziko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo ndipo nchi itakapozifurahia Sabato zake, wakati itakapokuwa hali ya ukiwa, nanyi mtakapokuwa katika nchi ya adui zenu; ndipo nchi itakapopumzika, na kuzifurahia Sabato zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mutakapokuwa katika mikono ya waadui zenu, halafu inchi itafurahia Sabato zake wakati itakapokuwa katika hali ya ukiwa. Inchi itapumzika na kufurahia Sabato zake.