Leviticus 26:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wataangukiana ovyo kama mtu anayekimbia vita hata kama hamna anayewafukuza. Hamtakuwa na nguvu yoyote kuwakabili adui zenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watajikwaa mmoja juu ya mwingine kama watu wakimbiao upanga, hata ingawa hakuna anayewafuatia. Hivyo hamtaweza kusimama mbele ya adui zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wataangukiana wenyewe kwa wenyewe, kama mbele ya upanga, hapo ambapo hapana afukuzaye; wala hamtakuwa na nguvu za kusimama mbele ya adui zenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wataangukiana ovyo kama mtu anayekimbia vita hata kama hamna anayewafukuza. Hamtakuwa na nguvu yoyote kuwakabili adui zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watajikwaa mmoja juu ya mwingine kama wakimbiao upanga, hata ingawa hakuna anayewafuatia. Hivyo hamtaweza kusimama mbele ya adui zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watajikwaa mmoja juu ya mwingine kama wakimbiao upanga, hata ingawa hakuna anayewafuatia. Hivyo hamtaweza kusimama mbele ya adui zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wataangukiana wenyewe kwa wenyewe, kama mbele ya upanga, hapo ambapo hapana afukuzaye; wala hamtakuwa na nguvu za kusimama mbele ya adui zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wataangukiana ovyo kama mtu anayekimbia vita hata kama hamna anayewafukuza. Hamtakuwa na nguvu yoyote kuwakabili adui zenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wataangukiana wenyewe kwa wenyewe, kama watu wanavyoangukiana kwa kukimbia upanga, lakini hatakuwako mwenye kuwakimbiza; nanyi hamtaweza kuwainukia adui zenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wataangukiana wenyewe kwa wenyewe, kama mbele ya upanga, hapo ambapo hapana afukuzaye; wala hamtakuwa na nguvu za kusimama mbele ya adui zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wataangukiana ovyo kama mutu anayekimbia vita hata kama hakuna anayewafukuza. Hamutakuwa na nguvu yoyote kwa kuwashambulia waadui zenu.