Leviticus 26:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtaangamia kati ya mataifa na nchi za adui zenu zitawameza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtaangamia kati ya mataifa; nchi ya adui zenu itawala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtaangamia kati ya mataifa, na nchi ya adui zenu itawameza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtaangamia kati ya mataifa na nchi za adui zenu zitawameza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtaangamia katikati ya mataifa; nchi ya adui zenu itawala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtaangamia katikati ya mataifa; nchi ya adui zenu itawala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtaangamia kati ya mataifa, na nchi ya adui zenu itawameza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtaangamia kati ya mataifa na nchi za adui zenu zitawameza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kule kwa wamizimu ndiko, mtakakoangamia, nayo nchi ya adui zenu ndiyo itakayowala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtaangamia kati ya mataifa, na nchi ya adui zenu itawameza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutaangamia kati ya mataifa na inchi za waadui zenu zitawameza.