Leviticus 26:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama baadhi yenu wakisalimika katika nchi za adui zenu watadhoofika kwa sababu ya uovu wao; na kwa sababu ya uovu wa wazee wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wenzenu watakaobaki wataangamia katika nchi za adui zao kwa sababu ya dhambi zao; pia kwa sababu ya dhambi za baba zao wataangamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wa kwenu watakaobaki watafifia kwa ajili ya uovu wao, katika hizo nchi za adui zenu; tena watafifia kwa ajili ya uovu wa baba zao, pamoja nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama baadhi yenu wakisalimika katika nchi za adui zenu watadhoofika kwa sababu ya uovu wao; na kwa sababu ya uovu wa wazee wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengine wenu watakaobaki wataangamia katika nchi za adui zao kwa sababu ya dhambi zao; pia kwa sababu ya dhambi za baba zao wataangamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wenu watakaobaki wataangamia katika nchi za adui zao kwa sababu ya dhambi zao; pia kwa sababu ya dhambi za baba zao wataangamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wa kwenu watakaobaki watafifia kwa ajili ya uovu wao, katika hizo nchi za adui zenu; tena watafifia kwa ajili ya uovu wa baba zao, pamoja nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama baadhi yenu wakisalimika katika nchi za adui zenu watadhoofika kwa sababu ya uovu wao; na kwa sababu ya uovu wa wazee wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watakaosalia watazimia na kuyeyuka katika nchi ya adui zenu kwa ajili ya manza zao, walizozikora, hata kwa ajili ya manza, baba zao walizozikora, watayeyuka na kuzimia pamoja nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wa kwenu watakaobaki watafifia kwa ajili ya uovu wao, katika hizo nchi za adui zenu; tena watafifia kwa ajili ya uovu wa baba zao, pamoja nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama wamoja kati yenu wakibakia katika inchi za waadui zenu watakonda na kuisha kwa sababu ya uovu wao na kwa sababu ya uovu wa wazee wao.