Leviticus 26:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nitawanyeshea mvua wakati ufaao, nchi ipate kuzaa mavuno kwa wingi, nayo miti ya mashambani matunda yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nitawanyeshea mvua katika majira yake, nayo ardhi itatoa mazao yake, na miti ya mashambani itazaa matunda yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo nitazinyesha mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake, na miti ya mashambani itazaa matunda yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nitawanyeshea mvua wakati ufaao, nchi ipate kuzaa mavuno kwa wingi, nayo miti ya mashambani matunda yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nitawanyeshea mvua katika majira yake, nayo ardhi itatoa mazao yake na miti ya mashambani itazaa matunda yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nitawanyeshea mvua katika majira yake, nayo ardhi itatoa mazao yake, na miti ya mashambani itazaa matunda yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo nitazinyesha mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa mavuno yake, na miti ya mashambani itazaa matunda yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nitawanyeshea mvua wakati ufaao, nchi ipate kuzaa mavuno kwa wingi, nayo miti ya mashambani matunda yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nitawapa mvua zenu, siku zao zitakapotimia, nchi ipate kuyatoa mazao yake, nayo miti ya mashambani ipate kuyatoa matunda yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo nitazinyesha mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake, na miti ya mashambani itazaa matunda yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nitawanyeshea mvua kwa wakati unaofaa, inchi ipate kuzaa mavuno kwa wingi, nayo miti ya mashamba matunda yake.