Leviticus 26:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini kama wakitubu uovu wao na uovu wa wazee wao juu ya uasi waliotenda dhidi yangu na pia juu ya kupingana kwao nami,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Lakini kama watatubu dhambi zao na dhambi za baba zao, udanganyifu wao dhidi yangu na uadui wao kwangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wataukiri uovu wao, na uovu wa baba zao, katika maasi yao waliyoasi juu yangu, tena ya kuwa kwa sababu wameendelea kunishikia kinyume,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini kama wakitubu uovu wao na uovu wa wazee wao juu ya uasi waliotenda dhidi yangu na pia juu ya kupingana kwao nami,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Lakini kama watatubu dhambi zao na dhambi za baba zao, udanganyifu wao dhidi yangu na uadui wao kwangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Lakini kama watatubu dhambi zao na dhambi za baba zao, udanganyifu wao dhidi yangu na uadui wao kwangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wataukiri uovu wao, na uovu wa baba zao, katika maasi yao waliyoasi juu yangu, tena kwa kuwa wameendelea kunifanyia kinyume,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini kama wakitubu uovu wao na uovu wa wazee wao juu ya uasi waliotenda dhidi yangu na pia juu ya kupingana kwao nami,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watakapoungama, ya kuwa walikora manza, baba zao walizozikora nao, walipoyavunja maagano yangu kwa kuendelea kupingana na mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wataukiri uovu wao, na uovu wa baba zao, katika maasi yao waliyoasi juu yangu, tena ya kuwa kwa sababu wameendelea kunishikia kinyume,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama wakitubu uovu wao na uovu wa wazee wao juu ya uasi waliotenda juu yangu na vilevile juu ya kupingana kwao nami,