Leviticus 26:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakatambua kwa nini nilipingana nao na kuwapeleka katika nchi ya adui zao; kama kweli moyo wao mkaidi ukinyenyekea na kutubu uovu wao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambao ulinifanya niwe na uadui nao hata nikawapeleka katika nchi ya adui zao, wakati mioyo yao isiyotahiriwa itanyenyekea na kutubu dhambi yao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mimi nami nimeendelea kuwashikia kinyume wao, na kuwatia katika nchi ya adui zao; lakini hapo, kama mioyo yao isiyokuwa tohara ikinyenyekea, nao wakubali adhabu ya uovu wao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakatambua kwa nini nilipingana nao na kuwapeleka katika nchi ya adui zao; kama kweli moyo wao mkaidi ukinyenyekea na kutubu uovu wao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambao ulinifanya niwe na uadui nao hata nikawapeleka katika nchi ya adui zao, kisha mioyo yao isiyotahiriwa ikanyenyekea na kutubu dhambi yao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambao ulinifanya niwe na uadui nao hata nikawapeleka katika nchi ya adui zao, wakati mioyo yao isiyotahiriwa itanyenyekea na kutubu dhambi yao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mimi nami nimewaendea kinyume, na kuwatia katika nchi ya adui zao; lakini hapo, kama mioyo yao isiyokuwa tohara ikinyenyekea, nao wakubali adhabu ya uovu wao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakatambua kwa nini nilipingana nao na kuwapeleka katika nchi ya adui zao; kama kweli moyo wao mkaidi ukinyenyekea na kutubu uovu wao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mimi nami naliendelea kupingana nao na kuwapeleka katika nchi ya adui zao; lakini hapo, mioyo yao iliyokuwa haikutahiriwa itakapojinyenyekeza kuitikia, ya kuwa walikora manza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mimi nami nimeendelea kuwashikia kinyume wao, na kuwatia katika nchi ya adui zao; lakini hapo, kama mioyo yao isiyokuwa tohara ikinyenyekea, nao wakubali adhabu ya uovu wao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakitambua kwa nini nilipingana nao na kuwapeleka katika inchi ya waadui zao, kama kweli moyo wao mugumu ukinyenyekea na kutubu uovu wao,