Leviticus 26:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, hapo nami nitalikumbuka agano langu na Abrahamu, Isaka na Yakobo; na kuikumbuka ile nchi niliyowaahidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nami nitakumbuka agano langu na Yakobo, na agano langu na Isaka, na agano langu na Ibrahimu, nami nitaikumbuka nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo nitakapokumbuka agano langu pamoja na Yakobo, tena agano langu na Isaka, tena agano langu na Ibrahimu nitalikumbuka; nami nitaikumbuka nchi hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, hapo nami nitalikumbuka agano langu na Abrahamu, Isaka na Yakobo; na kuikumbuka ile nchi niliyowaahidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nitakumbuka Agano langu na Yakobo, na Agano langu na Isaki, na Agano langu na Abrahamu, nami nitaikumbuka nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nami nitakumbuka agano langu na Yakobo, na agano langu na Isaka, na agano langu na Ibrahimu, nami nitaikumbuka nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo nitakapokumbuka agano langu pamoja na Yakobo, tena agano langu na Isaka, tena agano langu na Abrahamu nitalikumbuka; nami nitaikumbuka nchi hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, hapo nami nitalikumbuka agano langu na Abrahamu, Isaka na Yakobo; na kuikumbuka ile nchi niliyowaahidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, nami nitakapolikumbuka agano, nililolifanya na Yakobo, nalo agano, nililolifanya na Isaka, nalo agano, nililolifanya na Aburahamu, nayo nchi hiyo nitaikumbuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo nitakapokumbuka agano langu pamoja na Yakobo, tena agano langu na Isaka, tena agano langu na Ibrahimu nitalikumbuka; nami nitaikumbuka nchi hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, hapo nami nitakumbuka agano langu na Abrahamu, Isaka na Yakobo na kukumbuka ile inchi niliyowaahidia.