Leviticus 26:46 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo ndiyo masharti, maagizo na sheria ambazo Mwenyezi-Mungu aliwapa watu wa Israeli kule mlimani Sinai kwa njia ya Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizi ndizo amri, sheria na pia masharti ambazo Mwenyezi Mungu alifanya kati yake mwenyewe na Waisraeli katika Mlima Sinai kupitia kwa Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi ni amri na hukumu na sheria, Bwana alizozifanya kati ya yeye na hao wana wa Israeli katika huo mlima wa Sinai kwa mkono wa Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo ndiyo masharti, maagizo na sheria ambazo Mwenyezi-Mungu aliwapa watu wa Israeli kule mlimani Sinai kwa njia ya Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo amri, sheria na pia masharti ambazo BWANA alifanya kati yake mwenyewe na Waisraeli katika Mlima Sinai kwa kupitia Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo amri, sheria na pia masharti ambazo bwana alifanya kati yake mwenyewe na Waisraeli katika Mlima Sinai kupitia kwa Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hizi ni amri, maagizo na sheria, BWANA alizozifanya kati yake na hao wana wa Israeli katika huo mlima wa Sinai kwa mkono wa Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo ndiyo masharti, maagizo na sheria ambazo Mwenyezi-Mungu aliwapa watu wa Israeli kule mlimani Sinai kwa njia ya Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maongozi na maamuzi na maonyo, Bwana aliyoyatoa kinywani mwa Mose mlimani kwa Sinai kuwa katikati yake yeye nao wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi ni amri na hukumu na sheria, BWANA alizozifanya kati ya yeye na hao wana wa Israeli katika huo mlima wa Sinai kwa mkono wa Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hayo ndiyo masharti, maagizo na sheria ambazo Yawe aliwapa watu wa Israeli kule kwenye mulima Sinai kwa njia ya Musa.