Leviticus 26:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watano wenu watawafukuza adui 100 na 100 wenu watawafukuza adui 10,000. Adui zenu wataangamia mbele yenu kwa upanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wenu watano watafukuza adui mia moja, na watu wenu mia moja watafukuza adui elfu kumi, nao adui zenu wataanguka kwa upanga mbele yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu watano wa kwenu watawafukuza watu mia, na watu mia wa kwenu watawafukuza watu elfu kumi; na adui zenu wataanguka mbele yenu kwa upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watano wenu watawafukuza adui 100 na 100 wenu watawafukuza adui 10,000. Adui zenu wataangamia mbele yenu kwa upanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wenu watano watafukuza adui mia, watu wenu mia watafukuza adui 10,000, nao adui zenu wataanguka kwa upanga mbele yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wenu watano watafukuza adui mia, watu wenu mia watafukuza adui elfu kumi, nao adui zenu wataanguka kwa upanga mbele yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu watano wa kwenu watawafukuza watu mia moja, na watu mia moja wa kwenu watawafukuza watu elfu kumi; na adui zenu wataanguka mbele yenu kwa upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watano wenu watawafukuza adui 100 na 100 wenu watawafukuza adui 10,000. Adui zenu wataangamia mbele yenu kwa upanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu watano wa kwenu watakimbiza mia, nao mia wa kwenu watakimbiza maelfu kumi; ndivyo, adui zenu watakavyoangushwa kwa panga mbele yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu watano wa kwenu watawafukuza watu mia, na watu mia wa kwenu watawafukuza watu elfu kumi; na adui zenu wataanguka mbele yenu kwa upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watano wenu watafukuza waadui mia moja na mia moja wenu watafukuza waadui elfu kumi. Waadui zenu wataangamia mbele yenu kwa upanga.