Leviticus 27:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama nadhiri hiyo yahusu mnyama najisi, wa aina ambayo si halali kumtolea Mwenyezi-Mungu, basi, mtu aliyemtoa, atamleta kwa kuhani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama alichokiwekea nadhiri ni mnyama aliye najisi, yaani yule asiyekubalika kuwa sadaka kwa Mwenyezi Mungu, huyo mnyama lazima aletwe kwa kuhani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama ni mnyama ye yote asiye safi, wa namna ambayo hawamsongezi kwa Bwana, basi atamweka huyo mnyama mbele ya kuhani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama nadhiri hiyo yahusu mnyama najisi, wa aina ambayo si halali kumtolea Mwenyezi-Mungu, basi, mtu aliyemtoa, atamleta kwa kuhani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama alichokiwekea nadhiri ni mnyama aliye najisi kiibada, yaani yule asiye kubalika kuwa sadaka kwa BWANA, huyo mnyama lazima aletwe kwa kuhani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama alichokiwekea nadhiri ni mnyama aliye najisi kiibada, yaani yule asiye kubalika kuwa sadaka kwa bwana, huyo mnyama lazima aletwe kwa kuhani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama ni mnyama yeyote asiye safi, wa namna ambayo hawamsongezi kwa BWANA, basi atamweka huyo mnyama mbele ya kuhani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama nadhiri hiyo yahusu mnyama najisi, wa aina ambayo si halali kumtolea Mwenyezi-Mungu, basi, mtu aliyemtoa, atamleta kwa kuhani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama nyama ni mwenye uchafu, wsiweze kumtolea Bwana kuwa ng'ombe ya tambiko, na wamsimamishe huyo nyama mbele ya mtambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama ni mnyama ye yote asiye safi, wa namna ambayo hawamsongezi kwa BWANA, basi atamweka huyo mnyama mbele ya kuhani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama kiapo hicho kinaelekea nyama muchafu wa aina ambayo hairuhusiwi kumutolea Yawe, basi, mutu aliyemutoa, atamuleta kwa kuhani,