Leviticus 27:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye kuhani ataamua thamani yake kulingana na uzuri au ubaya wake. Jinsi atakavyoamua kuhani, ndivyo itakavyokuwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye ataamua ubora wa mnyama huyo, kama ni mzuri au mbaya. Thamani yoyote atakayoweka kuhani, hivyo ndivyo itakavyokuwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuhani atamtia kima, akiwa mwema akiwa mbaya; kama wewe kuhani utakavyomtia kima, ndivyo itakavyokuwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye kuhani ataamua thamani yake kulingana na uzuri au ubaya wake. Jinsi atakavyoamua kuhani, ndivyo itakavyokuwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye ataamua ubora wa mnyama huyo kama ni mzuri au mbaya. Thamani yo yote atakayoweka kuhani, hivyo ndivyo itakavyokuwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye ataamua ubora wa mnyama huyo, kama ni mzuri au mbaya. Thamani yoyote atakayoweka kuhani, hivyo ndivyo itakavyokuwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuhani atamkadiria, akiwa mwema akiwa mbaya; kama kuhani atakavyomkadiria, ndivyo itakavyokuwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye kuhani ataamua thamani yake kulingana na uzuri au ubaya wake. Jinsi atakavyoamua kuhani, ndivyo itakavyokuwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mtambikaji na ayapime makombozi yake kwa kumpambanua kuwa mwema au mbaya, nayo makombozi yake, mtambikaji atakayoyapima kuwa sawa, basi, yatakuwa yaleyale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuhani atamtia kima, akiwa mwema akiwa mbaya; kama wewe kuhani utakavyomtia kima, ndivyo itakavyokuwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
naye kuhani ataamua bei yake kulingana na uzuri au ubaya wake. Jinsi kuhani atakavyoamua, ndivyo itakavyokuwa.