Leviticus 27:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama huyo mtu aliyeiweka wakfu akitaka kuikomboa hiyo nyumba, basi, ataongeza asilimia ishirini ya thamani yake, nayo itakuwa mali yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu aliyeweka nyumba yake wakfu ataikomboa, lazima aongeze sehemu ya tano ya thamani yake, nayo nyumba itakuwa yake tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mtu huyo aliyeweka nyumba yake iwe wakfu kama akitaka kuikomboa, ndipo atakapoongeza sehemu ya tano ya hiyo fedha ya hesabu yako, nayo itakuwa mali yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama huyo mtu aliyeiweka wakfu akitaka kuikomboa hiyo nyumba, basi, ataongeza asilimia ishirini ya thamani yake, nayo itakuwa mali yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu aliyeweka nyumba yake wakfu ataikomboa, lazima aongeze sehemu ya tano ya thamani yake, nayo nyumba itakuwa tena yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu aliyeweka nyumba yake wakfu ataikomboa, lazima aongeze sehemu ya tano ya thamani yake, nayo nyumba itakuwa yake tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mtu huyo aliyeweka nyumba yake iwe wakfu kama akitaka kuikomboa, ndipo atakapoongeza sehemu ya tano ya hiyo fedha ya hesabu yako, nayo itakuwa mali yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama huyo mtu aliyeiweka wakfu akitaka kuikomboa hiyo nyumba, basi, ataongeza asilimia ishirini ya thamani yake, nayo itakuwa mali yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama mwenye kuitakasa anataka kuikomboa na aongeze fungu la tano la fedha, ulizozipima kuwa makombozi yake, kisha itakuwa yake tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mtu huyo aliyeweka nyumba yake iwe wakfu kama akitaka kuikomboa, ndipo atakapoongeza sehemu ya tano ya hiyo fedha ya hesabu yako, nayo itakuwa mali yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama huyo mutu aliyeitakasa akitaka kuikomboa hiyo nyumba, basi, ataongeza asili mia makumi mbili ya bei yake, nayo itakuwa mali yake.