Leviticus 27:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama akiliweka wakfu shamba lake katika mwaka wa kuadhimisha miaka hamsini, thamani yake ni lazima ilingane na vipimo vyenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akiweka shamba lake wakfu katika Mwaka wa Yubile, ile thamani iliyokwisha wekwa itakuwa hiyo hiyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba anaweka shamba lake liwe wakfu tangu mwaka wa yubile, litasimama vivyo kama hesabu yako ilivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama akiliweka wakfu shamba lake katika mwaka wa kuadhimisha miaka hamsini, thamani yake ni lazima ilingane na vipimo vyenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama akiweka shamba lake wakfu katika Mwaka wa Yubile, ile thamani iliyokwisha wekwa itakuwa iyo hiyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama akiweka shamba lake wakfu katika Mwaka wa Yubile, ile thamani iliyokwisha wekwa itakuwa iyo hiyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa anaweka shamba lake liwe wakfu tangu mwaka wa jubilii, litakadiriwa vivyo hivyo kama hesabu yako ilivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama akiliweka wakfu shamba lake katika mwaka wa kuadhimisha miaka hamsini, thamani yake ni lazima ilingane na vipimo vyenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama yule mtu anakitakasa kile kipande cha shamba lake kuanzia katika mwaka wa shangwe, makombozi yake ni yaleyale, uliyoyapima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba anaweka shamba lake liwe wakfu tangu mwaka wa yubile, litasimama vivyo kama hesabu yako ilivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama akitakasa shamba lake katika mwaka wa kukumbuka miaka makumi tano, bei yake ilingane na vipimo vyenu.