Leviticus 27:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mwenyewe akitaka kulikomboa, basi, ni lazima aongeze asilimia ishirini ya thamani ya shamba hilo, na kisha litakuwa mali yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu anayeweka wakfu shamba anataka kulikomboa, lazima aongeze sehemu ya tano ya thamani yake, nalo shamba litakuwa lake tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama yeye aliyeliweka shamba wakfu akitaka kulikomboa kweli, ndipo atakapoongeza sehemu ya tano ya hiyo fedha ya hesabu yako, nalo litathibitishwa kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mwenyewe akitaka kulikomboa, basi, ni lazima aongeze asilimia ishirini ya thamani ya shamba hilo, na kisha litakuwa mali yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu anayeweka wakfu shamba anataka kulikomboa, lazima aongeze sehemu ya tano ya thamani yake, nalo shamba litakuwa lake tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu anayeweka wakfu shamba anataka kulikomboa, lazima aongeze sehemu ya tano ya thamani yake, nalo shamba litakuwa lake tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama yeye aliyeliweka shamba wakfu akitaka kulikomboa kweli, ndipo atakapoongeza sehemu ya tano ya hiyo fedha ya hesabu yako, nalo litathibitishwa kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mwenyewe akitaka kulikomboa, basi, ni lazima aongeze asilimia ishirini ya thamani ya shamba hilo, na kisha litakuwa mali yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama mwenye kulitakasa shamba lake anataka kulikomboa, sharti aongeze fungu la tano la fedha za makombozi, uliyoyapima, kisha litakuwa lake tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama yeye aliyeliweka shamba wakfu akitaka kulikomboa kweli, ndipo atakapoongeza sehemu ya tano ya hiyo fedha ya hesabu yako, nalo litathibitishwa kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mwenyeji akitaka kulikomboa, basi, aongeze asili mia makumi mbili ya bei ya shamba hilo, na kisha litakuwa mali yake.