Leviticus 27:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waambie Waisraeli hivi: Mtu akiweka nadhiri ya kumtolea Mwenyezi-Mungu binadamu, mtu huyo anaweza kuondoa nadhiri yake kwa kulipa kiasi cha fedha kinachokadiriwa kama ifuatavyo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Kama mtu yeyote ataweka nadhiri maalum ili kuweka watu wakfu kwa Mwenyezi Mungu, kwa kutoa kiasi cha thamani inayolingana,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Hapo mtu atakapoondoa nadhiri, hizo nafsi za watu zitakuwa kwa Bwana, kama utakavyowahesabia wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waambie Waisraeli hivi: Mtu akiweka nadhiri ya kumtolea Mwenyezi-Mungu binadamu, mtu huyo anaweza kuondoa nadhiri yake kwa kulipa kiasi cha fedha kinachokadiriwa kama ifuatavyo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Kama mtu ye yote ataweka nadhiri maalum ili kuweka watu wakfu kwa BWANA, kwa kutoa kiasi cha thamani inayolingana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Kama mtu yeyote ataweka nadhiri maalum ili kuweka watu wakfu kwa bwana, kwa kutoa kiasi cha thamani inayolingana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Hapo mtu atakapoondoa nadhiri, hizo nafsi za watu zitakuwa kwa BWANA, kama utakavyowahesabia wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waambie Waisraeli hivi: Mtu akiweka nadhiri ya kumtolea Mwenyezi-Mungu binadamu, mtu huyo anaweza kuondoa nadhiri yake kwa kulipa kiasi cha fedha kinachokadiriwa kama ifuatavyo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sema nao wana wa Isiraeli na kuwaambia: mtu akitaka kuyalipa, aliyoyaapa ya kujitoa kuwa wake Bwana, sharti wewe uyapime makombozi ya mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Hapo mtu atakapoondoa nadhiri, hizo nafsi za watu zitakuwa kwa BWANA, kama utakavyowahesabia wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie Waisraeli hivi: Mutu akifanya kiapo cha kumutolea Yawe mwanadamu, mutu huyu anaweza kuondoa kiapo chake kwa kulipa kipimo cha feza kinachokadiriwa kama hivi: