Leviticus 27:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama hataki kulikomboa au amemwuzia mtu mwingine, basi, shamba hilo lisikombolewe tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama pengine halikomboi shamba hilo, au kama ameliuza kwa mtu mwingine, kamwe haliwezi kukombolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini asipotaka kulikomboa shamba, au kama amemwuzia mtu mwingine hilo shamba, halitakombolewa tena kabisa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama hataki kulikomboa au amemwuzia mtu mwingine, basi, shamba hilo lisikombolewe tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama pengine halikomboi shamba, au kama ameliuza kwa mtu mwingine, kamwe haliwezi kukombolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama pengine halikomboi shamba hilo, au kama ameliuza kwa mtu mwingine, kamwe haliwezi kukombolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini asipotaka kulikomboa shamba, au kama amemwuzia mtu mwingine hilo shamba, halitakombolewa tena kabisa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama hataki kulikomboa au amemwuzia mtu mwingine, basi, shamba hilo lisikombolewe tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama halikomboi hilo shamba, akaliuza kwa mtu mwingine, haliwezekani kukombolewa tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini asipotaka kulikomboa shamba, au kama amemwuzia mtu mwingine hilo shamba, halitakombolewa tena kabisa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama hataki kulikomboa au amemwuzishia mutu mwingine, basi, shamba hilo lisikombolewe tena.