Leviticus 27:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mwaka wa ukumbusho wa miaka hamsini shamba hilo litaachiliwa na kuwa lake Mwenyezi-Mungu milele. Kuhani ndiye atakayelimiliki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shamba hilo litakapoachiwa Mwaka wa Yubile, litakuwa takatifu, kama shamba lililotolewa kwa Mwenyezi Mungu, nalo litakuwa mali ya makuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ila hilo shamba litakuwa takatifu kwa Bwana litakapotoka katika yubile, kama ni shamba lililowekwa wakfu; litakuwa mali ya kuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mwaka wa ukumbusho wa miaka hamsini shamba hilo litaachiliwa na kuwa lake Mwenyezi-Mungu milele. Kuhani ndiye atakayelimiliki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shamba litakapoachiwa mwaka wa Yubile, litakuwa takatifu, kama shamba lililotolewa kwa BWANA, nalo litakuwa mali ya makuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shamba hilo litakapoachiwa mwaka wa Yubile, litakuwa takatifu, kama shamba lililotolewa kwa bwana, nalo litakuwa mali ya makuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ila hilo shamba litakuwa takatifu kwa BWANA litakapotoka katika jubilii, kama ni shamba lililowekwa wakfu; litakuwa mali ya kuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mwaka wa ukumbusho wa miaka hamsini shamba hilo litaachiliwa na kuwa lake Mwenyezi-Mungu milele. Kuhani ndiye atakayelimiliki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hapo, litakapotoka katika mwaka wa shangwe kwake aliyelinunua, litakuwa mali ya Bwana kama shamba lililotiwa mwiko wa kuwa mali ya mtu; nalo litakuwa fungu lake mtambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ila hilo shamba litakuwa takatifu kwa BWANA litakapotoka katika yubile, kama ni shamba lililowekwa wakfu; litakuwa mali ya kuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwaka wa ukumbusho wa miaka makumi tano shamba hilo litaachiliwa na kuwa la Yawe milele. Kuhani ndiye atakayelirizi.