Leviticus 27:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mtu akiweka wakfu shamba alilonunua, yaani sio lake kwa urithi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kama mtu ameweka wakfu kwa Mwenyezi Mungu shamba alilonunua, ambalo si sehemu ya ardhi ya jamaa yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kama akiweka wakfu kwa Bwana shamba ambalo amelinunua, ambalo si shamba la milki yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mtu akiweka wakfu shamba alilonunua, yaani sio lake kwa urithi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kama mtu ameweka wakfu kwa BWANA shamba alilonunua, ambalo si sehemu ya ardhi ya jamaa yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kama mtu ameweka wakfu kwa bwana shamba alilonunua, ambalo si sehemu ya ardhi ya jamaa yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kama akiweka wakfu kwa BWANA shamba ambalo amelinunua, ambalo si shamba la milki yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mtu akiweka wakfu shamba alilonunua, yaani sio lake kwa urithi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akitoa shamba, alilolinunua, lisilo shamba la fungu lake mwenyewe, akilitakasa kuwa lake Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kama akiweka wakfu kwa BWANA shamba ambalo amelinunua, ambalo si shamba la milki yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu akitakasa shamba alilonunua, ni kusema sio lake kwa urizi,