Leviticus 27:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila thamani itapimwa kwa kipimo cha uzito cha shekeli kulingana na kipimo cha mahali patakatifu: Uzito wa gera 20 ni sawa na uzito wa shekeli moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila thamani lazima iwekwe kulingana na shekeli ya mahali patakatifu: gera ishirini kwa shekeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hesabu zako zote zitaandamana shekeli ya mahali patakatifu; gera ishirini zitakuwa shekeli moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila thamani itapimwa kwa kipimo cha uzito cha shekeli kulingana na kipimo cha mahali patakatifu: uzito wa gera 20 ni sawa na uzito wa shekeli moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila thamani lazima iwekwe kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, gera ishirini kwa shekeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila thamani lazima iwekwe kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, gera ishirini kwa shekeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hesabu zako zote zitalingana na shekeli ya mahali patakatifu; gera ishirini, sawa na shekeli moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila thamani itapimwa kwa kipimo cha uzito cha shekeli kulingana na kipimo cha mahali patakatifu: Uzito wa gera 20 ni sawa na uzito wa shekeli moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo makombozi yote, utakayoyapima, sharti uyapime kwa fedha zilizopimwa kwa mizani ya Patakatifu, fedha moja iwe ya thumuni nane.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hesabu zako zote zitaandamana shekeli ya mahali patakatifu; gera ishirini zitakuwa shekeli moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila bei itapimwa kwa kipimo cha uzito cha shekeli kulingana na kipimo cha Pahali Patakatifu: uzito wa gera makumi mbili ni sawa na uzito wa shekeli moja.