Leviticus 27:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hairuhusiwi kumweka wakfu mzaliwa wa kwanza wa wanyama; kisheria huyo ni wake Mwenyezi-Mungu; awe ni ng'ombe au kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Hata hivyo, hakuna mtu atakayemweka wakfu mzaliwa wa kwanza wa mnyama, kwa kuwa mzaliwa wa kwanza tayari ni mali ya Mwenyezi Mungu; awe ng’ombe au kondoo, ni wa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mzaliwa wa kwanza tu katika wanyama, aliyewekwa kuwa mzaliwa wa kwanza kwa Bwana, mtu awaye yote hatamweka kuwa mtakatifu; kama ni ng'ombe, kama ni kondoo, huyo ni wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hairuhusiwi kumweka wakfu mzaliwa wa kwanza wa wanyama; kisheria huyo ni wake Mwenyezi-Mungu; awe ni ng'ombe au kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kwa vyo vyote, hakuna mtu atakayeweka wakfu mzaliwa wa kwanza wa mnyama, kwa kuwa mzaliwa wa kwanza tayari ni mali ya BWANA; awe maksai au kondoo, ni wa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Lakini hakuna mtu atakayeweka wakfu mzaliwa wa kwanza wa mnyama, kwa kuwa mzaliwa wa kwanza tayari ni mali ya bwana; awe ng’ombe au kondoo, ni wa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mzaliwa wa kwanza tu katika wanyama, aliyewekwa kuwa mzaliwa wa kwanza kwa BWANA, mtu yeyote hatamweka kuwa mtakatifu; kama ni ng'ombe, kama ni kondoo, huyo ni wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hairuhusiwi kumweka wakfu mzaliwa wa kwanza wa wanyama; kisheria huyo ni wake Mwenyezi-Mungu; awe ni ng'ombe au kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa kwanza wa nyama wa kufuga mtu asiwatakase kuwa wake Bwana, kwani ndio wake Bwana kwa kuzaliwa wa kwanza, kama ni ng'ombe, au kama ni mbuzi au kondoo, ni wake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mzaliwa wa kwanza tu katika wanyama, aliyewekwa kuwa mzaliwa wa kwanza kwa BWANA, mtu awaye yote hatamweka kuwa mtakatifu; kama ni ng’ombe, kama ni kondoo, huyo ni wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hairuhusiwi kumutakasa muzaliwa wa kwanza wa nyama. Kufuatana na sheria, huyo ni wa Yawe, akuwe ni ngombe au kondoo.