Leviticus 27:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu yeyote aliyewekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu ili aangamizwe, asikombolewe; sharti auawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Mtu yeyote aliyewekwa wakfu ili kuangamizwa, hawezi kukombolewa. Mtu kama huyo lazima auawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila aliyewekwa wakfu, aliyewekwa wakfu na binadamu, hatakombolewa; sharti atauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu yeyote aliyewekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu ili aangamizwe, asikombolewe; sharti auawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Mtu ye yote aliyetolewa ili kuangamizwa, hawezi kukombolewa. Mtu kama huyo lazima auawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Mtu yeyote aliyewekwa wakfu ili kuangamizwa, hawezi kukombolewa. Mtu kama huyo lazima auawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila aliyewekwa wakfu, aliyewekwa wakfu na binadamu, hatakombolewa; sharti atauawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu yeyote aliyewekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu ili aangamizwe, asikombolewe; sharti auawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu ye yote aliyetiwa huo mwiko wa kutunzwa na mtu hawezekani kukombolewa, hana budi kuuawa kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila aliyewekwa wakfu, aliyewekwa wakfu na binadamu, hatakombolewa; sharti atauawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote aliyetakaswa kwa Yawe asikombolewe. Sharti auawe.