Leviticus 27:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mtu akitaka kuikomboa zaka yake, atalipa thamani yake na kuongeza asilimia ishirini ya thamani ya zaka hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu akikomboa chochote cha zaka yake, lazima aongeze sehemu ya tano ya thamani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama mtu akitaka kukomboa cho chote cha zaka yake, ataongeza sehemu yake ya tano juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mtu akitaka kuikomboa zaka yake, atalipa thamani yake na kuongeza asilimia ishirini ya thamani ya zaka hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu akikomboa cho chote cha zaka yake, lazima aongeze sehemu ya tano ya thamani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu akikomboa chochote cha zaka yake, lazima aongeze sehemu ya tano ya thamani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama mtu akitaka kukomboa chochote cha zaka yake, ataongeza sehemu yake ya tano juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mtu akitaka kuikomboa zaka yake, atalipa thamani yake na kuongeza asilimia ishirini ya thamani ya zaka hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama mtu anataka kulikomboa fungu lake la kumi, sharti aongeze fungu la tano la fedha zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama mtu akitaka kukomboa cho chote cha zaka yake, ataongeza sehemu yake ya tano juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu akitaka kukomboa zaka yake, atalipa bei yake na kuongeza asili mia makumi mbili ya bei ya zaka hiyo.