Leviticus 27:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo ndizo amri ambazo Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose ili awaambie Waisraeli, mlimani Sinai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio maagizo Mwenyezi Mungu aliyompa Musa juu ya Mlima Sinai kwa ajili ya Waisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya ndiyo maagizo, Bwana aliyomwagiza Musa kwa ajili ya wana wa Israeli katika mlima wa Sinai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo ndizo amri ambazo Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose ili awaambie Waisraeli, mlimani Sinai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo maagizo BWANA aliyompa Mose juu ya Mlima Sinai kwa ajili ya Waisraeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo maagizo bwana aliyompa Musa juu ya Mlima Sinai kwa ajili ya Waisraeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya ndiyo maagizo, BWANA aliyomwagiza Musa kwa ajili ya wana wa Israeli katika mlima wa Sinai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo ndizo amri ambazo Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose ili awaambie Waisraeli, mlimani Sinai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maagizo, Bwana aliyomwagiza Mose mlimani kwa Sinai ya kuwaambia wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya ndiyo maagizo, BWANA aliyomwagiza Musa kwa ajili ya wana wa Israeli katika mlima wa Sinai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizo ndizo amri ambazo Yawe alimwamuru Musa kusudi awaambie Waisraeli kwenye mulima Sinai.