Leviticus 27:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mtu huyo ni wa miaka kati ya mitano na 20 atakombolewa kwa fedha shekeli 20 kama ni mvulana na shekeli 10 za fedha kama ni msichana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ni mtu mwenye umri wa miaka kati ya mitano na ishirini, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli ishirini, na mwanamke shekeli kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena akiwa mwenye umri wa miaka mitano hata umri wa miaka ishirini, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli ishirini kwa mwanamume, na shekeli kumi kwa mwanamke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mtu huyo ni wa miaka kati ya mitano na 20 atakombolewa kwa fedha shekeli 20 kama ni mvulana na shekeli 10 za fedha kama ni msichana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ni mwenye umri wa miaka kati ya mitano na ishirini, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli ishirini, na mwanamke shekeli kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ni mtu mwenye umri wa miaka kati ya mitano na ishirini, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli ishirini, na mwanamke shekeli kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena akiwa na umri wa miaka mitano hata umri wa miaka ishirini, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli ishirini kwa mwanamume, na shekeli kumi kwa mwanamke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mtu huyo ni wa miaka kati ya mitano na 20 atakombolewa kwa fedha shekeli 20 kama ni mvulana na shekeli 10 za fedha kama ni msichana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akiwa na miaka mitano mpaka ishirini, makombozi yake, utakayompimia, ni fedha ishirini, kama ni mtu mume; kama ni mwanamke, ni fedha kumi tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena akiwa mwenye umri wa miaka mitano hata umri wa miaka ishirini, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli ishirini kwa mwanamume, na shekeli kumi kwa mwanamke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu huyu ni wa miaka kati ya mitano na makumi mbili atakombolewa kwa feza shekeli makumi mbili kama ni kijana na shekeli kumi za feza kama ni binti.