Leviticus 27:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa ni mtoto wa umri wa kati ya mwezi mmoja na miaka mitano atakombolewa kwa shekeli 5 za fedha kama ni mvulana na shekeli 3 za fedha kama ni msichana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu za fedha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena akiwa mwenye umri wa mwezi mmoja hata umri wa miaka mitano, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli tano za fedha kwa mwanamume, na hesabu yako itakuwa shekeli tatu za fedha kwa mwanamke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa ni mtoto wa umri wa kati ya mwezi mmoja na miaka mitano atakombolewa kwa shekeli 5 za fedha kama ni mvulana na shekeli 3 za fedha kama ni msichana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu za fedha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu za fedha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena akiwa na umri wa mwezi mmoja hadi miaka mitano, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli tano za fedha kwa mwanamume na shekeli tatu za fedha kwa mwanamke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa ni mtoto wa umri wa kati ya mwezi mmoja na miaka mitano atakombolewa kwa shekeli 5 za fedha kama ni mvulana na shekeli 3 za fedha kama ni msichana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akiwa wa mwezi mmoja mpaka miaka mitano, makombozi yake, utakayompimia, ni fedha tano, kama ni mtu mume; kama ni mwanamke, utampimia makombozi ya fedha tatu tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena akiwa mwenye umri wa mwezi mmoja hata umri wa miaka mitano, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli tano za fedha kwa mwanamume, na hesabu yako itakuwa shekeli tatu za fedha kwa mwanamke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa ni mutoto wa umri wa kati ya mwezi mumoja na miaka mitano atakombolewa kwa shekeli tano za feza kama ni kijana na shekeli tatu za feza kama ni binti.