Leviticus 27:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa mtu huyo umri wake ni zaidi ya miaka sitini, thamani yake itakuwa ni shekeli 15 za fedha kama ni mwanamume na shekeli 10 za fedha kama ni mwanamke.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ni mtu mwenye miaka sitini na zaidi, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli kumi na tano, na mwanamke shekeli kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena akiwa mwenye umri wa miaka sitini na kuzidi; kama ni mwanamume, hesabu yako itakuwa shekeli kumi na tano, na kwa mwanamke shekeli kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa mtu huyo umri wake ni zaidi ya miaka sitini, thamani yake itakuwa ni shekeli 15 za fedha kama ni mwanamume na shekeli 10 za fedha kama ni mwanamke.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ni mtu mwenye miaka sitini na zaidi, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli kumi na tano na mwanamke shekeli kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ni mtu mwenye miaka sitini na zaidi, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli kumi na tano, na mwanamke shekeli kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena akiwa na umri wa miaka sitini na kuzidi; kama ni mwanamume, hesabu yako itakuwa shekeli kumi na tano, na kwa mwanamke shekeli kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa mtu huyo umri wake ni zaidi ya miaka sitini, thamani yake itakuwa ni shekeli 15 za fedha kama ni mwanamume na shekeli 10 za fedha kama ni mwanamke.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akiwa wa miaka sitini na zaidi, kama ni mtu mume, makombozi yake, utakayompimia, ni fedha kumi na tano; kama ni mwanamke, fedha zake ni kumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena akiwa mwenye umri wa miaka sitini na kuzidi; kama ni mwanamume, hesabu yako itakuwa shekeli kumi na tano, na kwa mwanamke shekeli kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa mutu huyu umri wake ni zaidi ya miaka makumi sita, bei yake itakuwa ni shekeli kumi na tano za feza, kama ni mwanaume na shekeli kumi za feza kama ni mwanamuke.