Leviticus 27:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ikiwa nadhiri yenyewe inahusu mnyama wa namna ambayo watu humtolea Mwenyezi-Mungu sadaka, basi mnyama huyo huwa kitu kitakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kama kile mtu alichokiwekea nadhiri ni mnyama anayekubalika kama sadaka kwa Mwenyezi Mungu, mnyama huyo aliyetolewa kwa Mwenyezi Mungu anakuwa mtakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kama ni mnyama wa namna ambayo watu husongeza kuwa sadaka kwa Bwana, kila mmoja katika wanyama hao atakayetolewa kwa Bwana, na mtu ye yote, atakuwa ni mtakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ikiwa nadhiri yenyewe inahusu mnyama wa namna ambayo watu humtolea Mwenyezi-Mungu sadaka, basi mnyama huyo huwa kitu kitakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kama kile mtu alichokiwekea nadhiri ni mnyama anayekubalika kama sadaka kwa BWANA, mnyama wa namna hiyo aliyetolewa kwa BWANA anakuwa mtakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kama kile mtu alichokiwekea nadhiri ni mnyama anayekubalika kama sadaka kwa bwana, mnyama wa namna hiyo aliyetolewa kwa bwana anakuwa mtakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kama ni mnyama wa namna ambayo watu husongeza kuwa sadaka kwa BWANA, kila mmoja katika wanyama hao atakayetolewa kwa BWANA, na mtu yeyote, atakuwa ni mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ikiwa nadhiri yenyewe inahusu mnyama wa namna ambayo watu humtolea Mwenyezi-Mungu sadaka, basi mnyama huyo huwa kitu kitakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ni nyama, watu wanayemtolea Bwana kuwa toleo la tambiko, kila mmoja, atakayemtoa katika nyama hao, atakuwa mtakatifu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kama ni mnyama wa namna ambayo watu husongeza kuwa sadaka kwa BWANA, kila mmoja katika wanyama hao atakayetolewa kwa BWANA, na mtu ye yote, atakuwa ni mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa kiapo chenyewe kinaelekea nyama wa namna ambayo watu wanamutolea Yawe sadaka, basi nyama huyo anakuwa kitu kitakatifu.