Leviticus 3:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya ini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
figo mbili pamoja na mafuta yanayozifunika yaliyo karibu na kiuno, na kipande kirefu cha ini, ambayo utayaondoa pamoja na figo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya ini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
figo mbili pamoja na mafuta yanayozizunguka yaliyo karibu na kiuno na yale yanayofunika ini, ambayo atayatoa pamoja na figo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
figo mbili pamoja na mafuta yanayozizunguka yaliyo karibu na kiuno na yale yanayofunika ini, ambayo atayatoa pamoja na figo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya ini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena mafigo yake mawili pamoja na mafuta yanayoshikamana nayo penye nyama za viuno na kipande cha ini kilicho pamoja na mafigo; basi, haya yote na ayaondoe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya maini.