Leviticus 3:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama sadaka yake ni mbuzi, basi, atamtolea mbele ya Mwenyezi-Mungu
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ikiwa sadaka yake ni mbuzi, ataileta mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na matoleo yake, kwamba ni mbuzi, ndipo atakapomtoa mbele za Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama sadaka yake ni mbuzi, basi, atamtolea mbele ya Mwenyezi-Mungu
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kama sadaka yake ni mbuzi, ataileta mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kama sadaka yake ni mbuzi, ataileta mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na matoleo yake, kwamba ni mbuzi, ndipo atakapomtoa mbele za BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama sadaka yake ni mbuzi, basi, atamtolea mbele ya Mwenyezi-Mungu
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama toleo lake ni mbuzi, sharti ampeleke kumtoa mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na matoleo yake, kwamba ni mbuzi, ndipo atakapomtoa mbele za BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama sadaka yake ni mbuzi, basi atamutolea mbele ya Yawe