Leviticus 3:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, mafuta yote yanayofunika matumbo
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika ile sadaka anayotoa, atatoa hii sadaka ya kuteketezwa kwa Mwenyezi Mungu: mafuta yote yanayofunika sehemu za ndani na yale yanayoungana nazo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atasongeza katika sadaka hiyo matoleo yake, dhabihu kwa Bwana kwa njia ya moto; yaani, mafuta yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo katika matumbo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, mafuta yote yanayofunika matumbo
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutokana na ile sadaka anayotoa, atatoa sadaka hii kwa BWANA kwa moto: mafuta yote yanayofunika sehemu za ndani na yale yanayoungana nazo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutokana na ile sadaka anayotoa, atatoa sadaka hii kwa bwana kwa moto: mafuta yote yanayofunika sehemu za ndani na yale yanayoungana nazo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atasongeza katika sadaka hiyo matoleo yake, dhabihu kwa BWANA kwa njia ya moto; yaani, mafuta yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo katika matumbo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, mafuta yote yanayofunika matumbo
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na atoe katika hilo toleo lake vile vipande vya kumchomea Bwana kwa moto: mafuta yanayoufunika utumbo pamoja na mafuta yote yanayoshikamana na utumbo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atasongeza katika sadaka hiyo matoleo yake, dhabihu kwa BWANA kwa njia ya moto; yaani, mafuta yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo katika matumbo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, atamutolea Yawe mafuta yote yanayofunika matumbotumbo