Leviticus 3:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atatoa pia zile figo mbili na mafuta yake pamoja na ile sehemu bora ya ini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
figo zote pamoja na mafuta yaliyozifunika karibu na kiuno, na kipande kirefu cha ini; utayaondoa pamoja na figo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno, na hicho kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atatoa pia zile figo mbili na mafuta yake pamoja na ile sehemu bora ya ini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
figo zote pamoja na mafuta yote yanayozizunguka karibu na kiuno na yale yanayofunika ini, ambayo atayaondoa pamoja na figo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
figo zote pamoja na mafuta yote yanayozizunguka karibu na kiuno na yale yanayofunika ini, ambayo atayaondoa pamoja na figo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno, na hicho kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atatoa pia zile figo mbili na mafuta yake pamoja na ile sehemu bora ya ini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena mafigo yake mawili pamoja na mafuta yanayoshikamana nayo penye nyama za viuno na kipande cha ini kilicho pamoja na mafigo; basi, haya yote na ayaondoe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno, na hicho kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atatoa vilevile zile figo mbili na mafuta yake pamoja na ile sehemu bora ya maini.