Leviticus 3:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mtu atatoa mwanakondoo kuwa sadaka yake, basi, atamtolea mbele ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akimtoa mwana-kondoo, atamleta mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama akimtoa mwana-kondoo kuwa matoleo yake, ndipo atakapomtolea Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mtu atatoa mwanakondoo kuwa sadaka yake, basi, atamtolea mbele ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama akimtoa mwana-kondoo, atamleta mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama akimtoa mwana-kondoo, atamleta mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa mtu atamtoa mwana-kondoo kama matoleo yake, ndipo atakapomleta mbele za BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mtu atatoa mwanakondoo kuwa sadaka yake, basi, atamtolea mbele ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama anapeleka kondoo kuwa toleo lake, sharti ampeleke kumtoa mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama akimtoa mwana-kondoo kuwa matoleo yake, ndipo atakapomtolea BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu atatoa mwana-kondoo kuwa sadaka yake, basi atamutolea mbele ya Yawe,