Leviticus 4:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani atazichukua na kuziteketeza juu ya madhabahu ya kuteketezea sadaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama vile mafuta yanavyoondolewa kutoka kwa ng’ombe aliyetolewa sadaka ya amani. Kisha kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
vile vile kama yanavyoondolewa katika ng'ombe wa kuchinjwa kwa sadaka za amani; kisha huyo kuhani atayateketeza juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani atazichukua na kuziteketeza juu ya madhabahu ya kuteketezea sadaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama vile mafuta yanayoondolewa kutoka kwenye maksai aliyetolewa sadaka ya amani. Kisha kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama vile mafuta yanayoondolewa kutoka kwenye maksai aliyetolewa sadaka ya amani. Kisha kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
vile vile kama yanavyoondolewa katika ng'ombe wa kuchinjwa kwa sadaka za amani; kisha huyo kuhani atayateketeza juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani atazichukua na kuziteketeza juu ya madhabahu ya kuteketezea sadaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama anavyoyanyanyua katika ng'ombe aliyechinjwa kuwa ng'ombe ya tambiko ya shukrani, ndivyo, mtambikaji ayachome moto mezani pa kuteketezea ng'ombe za tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
vile vile kama yanavyoondolewa katika ng’ombe wa kuchinjwa kwa sadaka za amani; kisha huyo kuhani atayateketeza juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizi ni sehemu zilezile zinazoondolewa kwa nyama wa sadaka ya amani. Kuhani ataziteketeza juu ya mazabahu ya kuteketezea sadaka.