Leviticus 4:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ngozi ya huyo ng'ombe, nyama, kichwa, miguu, matumbo na mavi yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ngozi ya huyo fahali na nyama zake zote, pamoja na kichwa na miguu yake, sehemu za ndani na matumbo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha ngozi yake ng'ombe, na nyama yake yote, pamoja na kichwa chake, na pamoja na miguu yake, na matumbo yake, na mavi yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ngozi ya huyo ng'ombe, nyama, kichwa, miguu, matumbo na mavi yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ngozi ya huyo fahali na nyama zake zote, pamoja na kichwa na miguu yake, sehemu za ndani na matumbo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ngozi ya huyo fahali na nyama zake zote, pamoja na kichwa na miguu yake, sehemu za ndani na matumbo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha ngozi yake ng'ombe, na nyama yake yote, pamoja na kichwa chake, na pamoja na miguu yake, na matumbo yake, na mavi yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ngozi ya huyo ng'ombe, nyama, kichwa, miguu, matumbo na mavi yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo ngozi ya huyu dume na nyama zake pamoja na kichwa chake na miguu yake na utumbo wake na mavi yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha ngozi yake ng’ombe, na nyama yake yote, pamoja na kichwa chake, na pamoja na miguu yake, na matumbo yake, na mavi yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ngozi ya huyo ngombe, nyama, kichwa, miguu, matumbotumbo na mavi yake,