Leviticus 4:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazee wa jumuiya ya watu wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali, kisha atachinjwa mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazee wa jumuiya wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali mbele za Mwenyezi Mungu, naye huyo fahali atachinjwa mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wazee wa mkutano wataweka mikono yao kichwani mwake huyo ng'ombe mbele za Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazee wa jumuiya ya watu wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali, kisha atachinjwa mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazee wa jumuiya wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali aliye mbele za BWANA, naye fahali atachinjwa mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazee wa jumuiya wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali aliye mbele za bwana, naye fahali atachinjwa mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wazee wa mkutano wataweka mikono yao kichwani mwake huyo ng'ombe mbele za BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazee wa jumuiya ya watu wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali, kisha atachinjwa mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wazee wa mkutano na waibandike mikono yao kichwni pake huyo dume mbele ya Bwana, kisha wamchinje huyo dume mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wazee wa mkutano wataweka mikono yao kichwani mwake huyo ng’ombe mbele za BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazee wao wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo ngombe dume, kisha atachinjwa mbele ya Yawe.