Leviticus 4:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule kuhani aliyeteuliwa rasmi kwa kupakwa mafuta ataleta sehemu ya damu ya huyo fahali ndani ya hema la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha kuhani aliyepakwa mafuta ataingiza sehemu ya damu ya huyo fahali ndani ya Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha ng'ombe atachinjwa mbele za Bwana. Kisha kuhani aliyetiwa mafuta atatwaa katika damu ya huyo ng'ombe na kuileta ndani ya hema ya kukutania;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule kuhani aliyeteuliwa rasmi kwa kupakwa mafuta ataleta sehemu ya damu ya huyo fahali ndani ya hema la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha kuhani aliyetiwa mafuta ataiingiza sehemu ya damu ya huyo fahali ndani ya Hema la Kukutania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha kuhani aliyetiwa mafuta ataiingiza sehemu ya damu ya huyo fahali ndani ya Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha ng'ombe atachinjwa mbele za BWANA. Kisha kuhani aliyetiwa mafuta atatwaa baadhi ya damu ya huyo ng'ombe na kuileta ndani ya hema ya kukutania;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule kuhani aliyeteuliwa rasmi kwa kupakwa mafuta ataleta sehemu ya damu ya huyo fahali ndani ya hema la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji aliyepakwa mafuta na aiingize damu nyingine ya huyo dume Hemani mwa Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha ng’ombe atachinjwa mbele za BWANA. Kisha kuhani aliyetiwa mafuta atatwaa katika damu ya huyo ng’ombe na kuileta ndani ya hema ya kukutania;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule kuhani aliyechaguliwa kwa kupakwa mafuta ataleta sehemu ya damu ya huyo ngombe dume ndani ya hema la mukutano.