Leviticus 4:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atachovya kidole chake katika hiyo damu na kuinyunyiza mbele ya pazia mara saba, mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atachovya kidole chake kwenye damu na kuinyunyiza mara saba mbele za Mwenyezi Mungu mbele ya hilo pazia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha kuhani atatia kidole chake katika hiyo damu, na kuinyunyiza mbele za Bwana, mbele ya pazia mara saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atachovya kidole chake katika hiyo damu na kuinyunyiza mbele ya pazia mara saba, mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atachovya kidole chake kwenye damu na kuinyunyiza mara saba mbele za BWANA mbele ya hilo pazia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atachovya kidole chake kwenye damu na kuinyunyiza mara saba mbele za bwana mbele ya hilo pazia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha kuhani atatia kidole chake katika hiyo damu, na kuinyunyiza mbele za BWANA, mbele ya pazia mara saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atachovya kidole chake katika hiyo damu na kuinyunyiza mbele ya pazia mara saba, mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji na achovye kidole chake katika damu, anyunyize mara saba mbele ya Bwana penye lile pazia la kupakingia Patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha kuhani atatia kidole chake katika hiyo damu, na kuinyunyiza mbele za BWANA, mbele ya pazia mara saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atachovya kidole chake katika hiyo damu na kuinyunyiza mbele ya pazia mara saba, mbele ya Yawe.