Leviticus 4:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafuta yote ya mnyama huyo atayachukua na kuyateketeza kwenye madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atayaondoa mafuta yote ya yule fahali na kuyateketeza juu ya madhabahu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha atayaondoa mafuta yake yote na kuyateketeza juu ya madhabahu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafuta yote ya mnyama huyo atayachukua na kuyateketeza kwenye madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atayaondoa mafuta yote ya yule fahali na kuyateketeza juu ya madhabahu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atayaondoa mafuta yote ya yule fahali na kuyateketeza juu ya madhabahu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha atayaondoa mafuta yake yote na kuyateketeza juu ya madhabahu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafuta yote ya mnyama huyo atayachukua na kuyateketeza kwenye madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mafuta yake yote sharti ayaondoe kwake, ayachome moto hapo mezani pa kutambikia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha atayaondoa mafuta yake yote na kuyateketeza juu ya madhabahu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mafuta yote ya nyama huyo atayatwaa na kuyateketeza kwenye mazabahu.