Leviticus 4:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waambie watu wa Israeli hivi: Kama mtu ametenda dhambi bila kukusudia, akafanya kitu kilichokatazwa na amri ya Mwenyezi-Mungu, atafanya kama ifuatavyo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie Waisraeli: ‘Mtu yeyote afanyapo dhambi bila kukusudia na akatenda lile lililokatazwa katika amri yoyote ya Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, nena na wana wa Israeli, uwaambie, Kama mtu ye yote akifanya dhambi pasipo kukusudia, katika neno lo lote ambalo Bwana amelizuilia lisifanywe, na kutenda neno lo lote la maneno hayo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waambie watu wa Israeli hivi: Kama mtu ametenda dhambi bila kukusudia, akafanya kitu kilichokatazwa na amri ya Mwenyezi-Mungu, atafanya kama ifuatavyo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie Waisraeli: ‘Mtu ye yote afanyapo dhambi bila kukusudia na akatenda lile lililokatazwa katika amri yo yote ya BWANA:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie Waisraeli: ‘Mtu yeyote afanyapo dhambi bila kukusudia na akatenda lile lililokatazwa katika amri yoyote ya bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, nena na wana wa Israeli, uwaambie, Kama mtu yeyote akifanya dhambi pasipo kukusudia, katika neno lolote ambalo BWANA amelizuia lisifanywe, na kutenda neno lolote la maneno hayo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waambie watu wa Israeli hivi: Kama mtu ametenda dhambi bila kukusudia, akafanya kitu kilichokatazwa na amri ya Mwenyezi-Mungu, atafanya kama ifuatavyo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waambie wana wa Isiraeli kwamba: Mtu akikosea agizo lo lote la Bwana asilikosee kwa kusudi, akifanya yasiyofanywa, ingawa ayafanye mara moja tu, na afanye hivyo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, nena na wana wa Israeli, uwaambie, Kama mtu ye yote akifanya dhambi pasipo kukusudia, katika neno lo lote ambalo BWANA amelizuilia lisifanywe, na kutenda neno lo lote la maneno hayo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie watu wa Israeli hivi: Kama mutu akitenda zambi bila kukusudia, akifanya kitu kilichokatazwa na amri ya Yawe, atafanya hivi: