Leviticus 4:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ikiwa mtawala ametenda dhambi bila kukusudia kwa kufanya kitu kilichokatazwa na amri ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, na hivyo akawa na hatia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Wakati kiongozi ametenda dhambi bila kukusudia na kufanya yaliyokatazwa katika amri yoyote ya Mwenyezi Mungu, Mungu wake, ana hatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtawala atakapofanya dhambi, na kutenda pasipo kukusudia neno lo lote katika hayo ambayo Bwana, Mungu wake, aliyazuilia yasifanywe, naye amepata hatia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ikiwa mtawala ametenda dhambi bila kukusudia kwa kufanya kitu kilichokatazwa na amri ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, na hivyo akawa na hatia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Wakati kiongozi ametenda dhambi bila kukusudia na kufanya yaliyokataliwa katika amri yo yote ya BWANA Mungu wake, ana hatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Wakati kiongozi ametenda dhambi bila kukusudia na kufanya yaliyokatazwa katika amri yoyote ya bwana Mwenyezi Mungu wake, ana hatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtawala atakapofanya dhambi, na kutenda pasipo kukusudia neno lolote kati ya hayo ambayo BWANA, Mungu wake, aliyazuia yasifanywe, naye amepata hatia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ikiwa mtawala ametenda dhambi bila kukusudia kwa kufanya kitu kilichokatazwa na amri ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, na hivyo akawa na hatia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu wa watu atakapokosea agizo lo lote la Bwana Mungu wake na kufanya tendo moja tu lisilofanywa, kama hakulifanya kwa kusudi, basi, akikora manza hivyo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtawala atakapofanya dhambi, na kutenda pasipo kukusudia neno lo lote katika hayo ambayo BWANA, Mungu wake, aliyazuilia yasifanywe, naye amepata hatia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa mutawala ametenda zambi bila kukusudia kwa kufanya kitu kilichokatazwa na amri ya Yawe, Mungu wake, na hivyo akakuwa na kosa,