Leviticus 4:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mara akijulishwa dhambi hiyo aliyotenda, ataleta sadaka yake ya beberu asiye na dosari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakapofahamishwa dhambi aliyotenda, ni lazima alete beberu asiye na dosari kuwa sadaka yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akijulishwa hiyo dhambi yake aliyoifanya, ataleta mbuzi awe matoleo yake, mume, mkamilifu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mara akijulishwa dhambi hiyo aliyotenda, ataleta sadaka yake ya beberu asiye na dosari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakapofahamishwa dhambi aliyotenda, ni lazima alete mbuzi dume asiye na dosari kama sadaka yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakapofahamishwa dhambi aliyotenda, ni lazima alete mbuzi dume asiye na dosari kama sadaka yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akijulishwa hiyo dhambi yake aliyoifanya, ataleta mbuzi dume asiye na dosari awe matoleo yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mara akijulishwa dhambi hiyo aliyotenda, ataleta sadaka yake ya beberu asiye na dosari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
au hapo kosa lake, alilolikosa, litakapojulikana kwake kuwa ni kosa, na apeleke dume la mbuzi asiye na kilema kuwa toleo lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akijulishwa hiyo dhambi yake aliyoifanya, ataleta mbuzi awe matoleo yake, mume, mkamilifu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mara tu akijulishwa zambi hiyo aliyotenda, ataleta sadaka yake ya beberu asiyekuwa na kilema.