Leviticus 4:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mtu wa kawaida ametenda dhambi bila kukusudia, kwa kufanya kitu kilichokatazwa na amri ya Mwenyezi-Mungu na hivyo akawa na hatia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kama mtu katika jumuiya ametenda dhambi pasipo kukusudia, na kufanya lile lililokatazwa katika amri yoyote ya Mwenyezi Mungu, yeye ana hatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu awaye yote katika watu wa nchi akifanya dhambi pasipo kukusudia, kwa kufanya neno lo lote katika hayo ambayo Bwana alizuilia yasifanywe, naye akapata hatia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mtu wa kawaida ametenda dhambi bila kukusudia, kwa kufanya kitu kilichokatazwa na amri ya Mwenyezi-Mungu na hivyo akawa na hatia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kama mtu katika jumuiya ametenda dhambi pasipo kukusudia na kufanya lile lililokatazwa katika amri yo yote ya BWANA, yeye ana hatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kama mtu katika jumuiya ametenda dhambi pasipo kukusudia na kufanya lile lililokatazwa katika amri yoyote ya bwana, yeye ana hatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu yeyote kati ya watu wa nchi akifanya dhambi pasipo kukusudia, kwa kufanya neno lolote katika hayo ambayo BWANA alizuia yasifanywe, naye akapata hatia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mtu wa kawaida ametenda dhambi bila kukusudia, kwa kufanya kitu kilichokatazwa na amri ya Mwenyezi-Mungu na hivyo akawa na hatia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtu aliye mtumtu tu katika nchi hii akikosa, asipokosea agizo la Bwana kwa kusudi, akifanya tendo moja tu lisilofanywa, basi, akikora manza hivyo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu awaye yote katika watu wa nchi akifanya dhambi pasipo kukusudia, kwa kufanya neno lo lote katika hayo ambayo BWANA alizuilia yasifanywe, naye akapata hatia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu wa kawaida ametenda zambi bila kukusudia, kwa kufanya kitu kilichokatazwa na amri ya Yawe na hivyo akakuwa na kosa,