Leviticus 4:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mara atakapojulishwa kuwa ametenda dhambi, ataleta sadaka ya mbuzi jike asiye na dosari kwa ajili ya kuondoa dhambi aliyotenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakapofahamishwa dhambi aliyoitenda, ni lazima alete mbuzi jike asiye na dosari kuwa sadaka yake kwa ajili ya dhambi aliyotenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akijulishwa hiyo dhambi yake aliyoifanya, ndipo atakapoleta mbuzi mke mkamilifu, awe matoleo yake kwa ajili ya dhambi yake aliyoifanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mara atakapojulishwa kuwa ametenda dhambi, ataleta sadaka ya mbuzi jike asiye na dosari kwa ajili ya kuondoa dhambi aliyotenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakapofahamishwa dhambi yake aliyoitenda, ni lazima alete mbuzi jike asiye na dosari kama sadaka yake kwa ajili ya dhambi aliyotenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakapofahamishwa dhambi yake aliyoitenda, ni lazima alete mbuzi jike asiye na dosari kama sadaka yake kwa ajili ya dhambi aliyotenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akijulishwa hiyo dhambi yake aliyoifanya, ndipo atakapoleta mbuzi jike mkamilifu, awe matoleo yake kwa ajili ya dhambi yake aliyoifanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mara atakapojulishwa kuwa ametenda dhambi, ataleta sadaka ya mbuzi jike asiye na dosari kwa ajili ya kuondoa dhambi aliyotenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
au hapo kosa lake, alilolikosa, litakapojulikana kwake kuwa ni kosa, na apeleke jike la mbuzi asiye na kilema kuwa toleo lake kwa ajili ya kosa lake, alilolikosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akijulishwa hiyo dhambi yake aliyoifanya, ndipo atakapoleta mbuzi mke mkamilifu, awe matoleo yake kwa ajili ya dhambi yake aliyoifanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mara tu atakapojulishwa kwamba ametenda zambi, ataleta sadaka ya mbuzi dike asiyekuwa na kilema kwa ajili ya zambi aliyotenda.