Leviticus 4:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha mbuzi huyo wa sadaka ya kuondoa dhambi, na kumchinjia mahali wanapochinjia wanyama wa sadaka za kuteketezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha sadaka ya dhambi na kumchinjia mahali pa kuteketezea sadaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye ataweka mkono wake kichwani mwake hiyo sadaka ya dhambi, na kumchinja sadaka ya dhambi mahali hapo pa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha mbuzi huyo wa sadaka ya kuondoa dhambi, na kumchinjia mahali wanapochinjia wanyama wa sadaka za kuteketezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha sadaka ya dhambi na kumchinjia mahali pa kuteketezea sadaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha sadaka ya dhambi na kumchinjia mahali pa kuteketezea sadaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye ataweka mkono wake kichwani mwake hiyo sadaka ya dhambi, na kumchinja awe sadaka ya dhambi mahali hapo pa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha mbuzi huyo wa sadaka ya kuondoa dhambi, na kumchinjia mahali wanapochinjia wanyama wa sadaka za kuteketezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na aubandike mkono wake kichwani pake huyo ng'ombe ya tambiko ya weuo, kisha amchinje huyo ng'ombe ya tambiko ya weuo mahali hapo, wanapochinja ng'ombe za tambiko za kuteketezwa nzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye ataweka mkono wake kichwani mwake hiyo sadaka ya dhambi, na kumchinja sadaka ya dhambi mahali hapo pa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataweka mukono wake juu ya kichwa cha mbuzi huyo wa sadaka ya kuondoa zambi, na kumuchinjia pahali wanapochinjia nyama wa sadaka za kuteketezwa.