Leviticus 4:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ikiwa mtu huyo ataleta mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi, basi, ataleta mwanakondoo jike asiye na dosari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Akileta mwana-kondoo kuwa sadaka yake ya dhambi, atamleta jike asiye na dosari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akileta mwana-kondoo kuwa sadaka ya dhambi, ataleta wa kike mkamilifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ikiwa mtu huyo ataleta mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi, basi, ataleta mwanakondoo jike asiye na dosari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ikiwa ataleta mwana-kondoo kama sadaka yake ya dhambi, atamleta jike asiye na dosari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ikiwa ataleta mwana-kondoo kama sadaka yake ya dhambi, atamleta jike asiye na dosari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akileta mwana-kondoo kuwa sadaka ya dhambi, ataleta jike mkamilifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ikiwa mtu huyo ataleta mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi, basi, ataleta mwanakondoo jike asiye na dosari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama anapeleka kondoo, amtoe kuwa ng'ombe ya tambiko ya weuo sharti apeleke jike asiye na kilema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akileta mwana-kondoo kuwa sadaka ya dhambi, ataleta wa kike mkamilifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa mutu yule ataleta mwana-kondoo kwa ajili ya sadaka ya zambi, basi, ataleta mwana-kondoo dike asiyekuwa na kilema.