Leviticus 4:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo kuhani, aliyepakwa mafuta atachukua kiasi cha damu na kuingia nayo ndani ya hema la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha kuhani huyo aliyepakwa mafuta atachukua sehemu ya damu ya huyo fahali na kuileta katika Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha huyo kuhani aliyetiwa mafuta atatwaa baadhi ya damu ya huyo ng'ombe, na kuileta ndani ya hiyo hema ya kukutania;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo kuhani, aliyepakwa mafuta atachukua kiasi cha damu na kuingia nayo ndani ya hema la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha kuhani huyo aliyetiwa mafuta atachukua sehemu ya damu ya huyo fahali na kuileta katika Hema la Kukutania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha kuhani huyo aliyetiwa mafuta atachukua sehemu ya damu ya huyo fahali na kuileta katika Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha huyo kuhani aliyetiwa mafuta atatwaa baadhi ya damu ya huyo ng'ombe, na kuileta ndani ya hiyo hema ya kukutania;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo kuhani, aliyepakwa mafuta atachukua kiasi cha damu na kuingia nayo ndani ya hema la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mtambikaji aliyepakwa mafuta na atwae damu nyingine ya huyo dume na kuiingiza Hemani mwa Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha huyo kuhani aliyetiwa mafuta atatwaa baadhi ya damu ya huyo ng’ombe, na kuileta ndani ya hiyo hema ya kukutania;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huyo kuhani aliyepakwa mafuta atatwaa sehemu ya damu na kuingia nayo ndani ya hema la mukutano.