Leviticus 4:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atachovya kidole chake katika damu hiyo na kuirashia mara saba mbele ya Mwenyezi-Mungu upande wa mbele wa pazia la mahali patakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atachovya kidole chake katika hiyo damu, na kuinyunyiza sehemu yake mara saba mbele za Mwenyezi Mungu, mbele ya pazia la mahali patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha kuhani atatia kidole chake katika hiyo damu na kuinyunyiza damu mbele ya Bwana mara saba, mbele ya pazia la mahali patakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atachovya kidole chake katika damu hiyo na kuirashia mara saba mbele ya Mwenyezi-Mungu upande wa mbele wa pazia la mahali patakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atachovya kidole chake katika hiyo damu na kuinyunyiza sehemu yake mara saba mbele za BWANA mbele ya pazia la mahali patakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atachovya kidole chake katika hiyo damu na kuinyunyiza sehemu yake mara saba mbele za bwana mbele ya pazia la mahali patakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha kuhani atatia kidole chake katika hiyo damu na kuinyunyiza damu mbele za BWANA mara saba, mbele ya pazia la mahali patakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atachovya kidole chake katika damu hiyo na kuirashia mara saba mbele ya Mwenyezi-Mungu upande wa mbele wa pazia la mahali patakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji na achovye kidole chake katika damu, anyunyize damu kidogo mara saba mbele ya Bwana penye lile pazia la kupakingia Patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha kuhani atatia kidole chake katika hiyo damu na kuinyunyiza damu mbele ya BWANA mara saba, mbele ya pazia la mahali patakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atachovya kidole chake katika damu hiyo na kuinyunyiza mara saba mbele ya Yawe upande wa mbele wa pazia la Pahali Patakatifu.